Home

Tanzania Learning Institutes

Latest Updates

Shule inatimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2008, shule ina kidato cha 1 hadi cha 6 ikiwa na tahasusi (Combinations) zote. Karibu kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya shule mwezi Octoba, 2018

@Fun-Lugha 2018-04-09

REPOST WITH EDITS: We need the following simultaneous interpreters for a 3 day event in June in Arusha, subject matter will be legal: -EN<>FR -EN<>AR -EN<>POR Send us your quotations asap Thanks

Nawakumbusha wanafunzi wote na jumuia nzima ya shule ya sekondari mwandet, kuwa shule inafunguliwa rasmi kesho tarehe 07 Jan 2018 kwa wanafunzi wa hostel na Jumatatu tarehe 08 Jan 2018 kwa wanafunzi wa Kutwa. Masoma na ufundishaji vitaanza rasmi hiyo hiyo jumatatu. Tafadhali fika kwa wakati bila visingizio

Ratiba ya TEST I Draft ya Pili, zitakazo anza Jumatatu tarehe 04 November imeshatoka. Panga muda wako vizuri.

TONIGHT at Alliance Française Dar es Salaam, FRIDAY, NOVEMBER 17, 7.30PM MUSIC CONCERT SWAHILI JAZZ FREE ENTRANCE The concert will be preceded by the High Level Debate t does literature say about our societiich will commence from 6pm at Alliance Française - FREE ENTRANCE

Mo Scholars Program The Mo Dewji Foundation is calling all first-year undergraduate students to apply for a fully-funded scholarship scheme. Students must be accepted to the University of Dar Es Salaam (UDSM) or Sokoine University of Agriculture (SUA). ▪ _Costs Covered:_ Tuition fees, direct university costs, housing, meals and field allowance. ▪ _Eligibility:_ Students must demonstrate that: (a) they are high performing (Division 1/2), (b) they have financial need due to personal circumstances (orphaned or TASAF household), and (c) they must demonstrate leadership potential based on activities they ve undertaken in secondary school. ▪ _Deadline:_ 20th October 2017 at 11:59PM _For more information, please do not hesitate to contact us:_ ▪ _Email:_ [email protected] ▪ _Website:_ http://www.modewjifoundation.org/our-programs/mo-scholars/

The best classroom and the richest cupboard is roofed only by the sky Margaret McMillan

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI 1.0 Serikali inatarajia kuajiri Walimu 92 wa Shahada na 174 wa Stashahada wa masomo ya Fizikia, Hisabati, Kilimo na Biashara kwa Shule za Sekondari na Walimu 2,767 wa Cheti kwa Shule za Msingi. 2.0 Waombaji kwa shule za Sekondari wawe waliohitimu mafunzo ya Ualimu mwaka 2016 au kabla, na wale wa Shule za Msingi wawe waliohitimu mafunzo yao mwaka 2014 au kabla. 3.0 Sifa za Waombaji: 3.1 Walimu wa Sekondari: (i) Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo moja la kufundishia au zaidi au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo moja la kufundishia au zaidi pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali. Masomo ya kufundishia ni kati ya Fizikia, Hisabati, Kilimo au Biashara. (ii) Stashahada ya Ualimu katika masomo yaliyoainishwa kwenye kipengele Na. 2.1 (i) hapo juu. (iii) Cheti cha Kidato cha Sita (iv) Cheti cha Kidato cha Nne 3.2 Walimu wa Shule za Msingi: (i) Astashahada ya Ualimu iliyotolewa na Chuo kinachotambuliwa na Serikali. (ii) Cheti cha Kidato cha Nne (wenye cheti Kidato cha Sita watapewa kipaumbele). 4.0 Utaratibu wa Kutuma Maombi: (a) Maombi yatumwe kupitia Posta kwa njia ya Rejesta (EMS). Juu ya bahasha iandikwe kwa mkombi ya Kazi ya Ualimu - Sekondari au Maombi ya Kazi ya Ualimu - Msi(b) Mwombaji aambatishe nakala za Vyeti vilivyothibitishwa (Certified) na Mwanasheria pamoja nscrNB: Barua za maombi zisiwasilishwe kwa mkono. Barua zitakazowasilishwa kwa mkono hazitapokelewa. 5.0 Masuala Mengine ya Kuzingatia: (a) Mwombaji aandike majina yake yote matatu. Kama Vyeti vina majina mawili, utaratibu wa kisheria wa kuongeza jina uzingatiwe. (b) Mwombaji aambatishe nakala ya Cheti cha Kuzaliwa. Mwisho wa kupokelewa maombi ni tarehe 31/08/2017. Maombi yatumwe kwa: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S. L. P. 10, 40479 DODOMA. Imetolewa na: KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

SHUKRANI ZA DHATI KWA FANS WANGU WOTE. Wapendwa, napenda kutumia fursa hii kutoka ktk sakafu ya Moyo wangu kwa jinsi mnavyo tuunga mkono ktk kujiunga na Page hii, Binafsi sina cha kuwapa zaidi ya kusema, Mungu wa Mbinguni awabariki sana. Pia naendelea kuwakaribisha kutuletea watoto wasome.Nasi tunawaahidi, tutaendelea kutuo Elimu bora kwa watoto wenu itakayo wawezesha kushindana kikamilifu ktk mazingira ya Utandawazi. Tupo tayari kuwahudumia ktk ngazi ya: (a) Nursery & Primary {English Medium} (b) Elimu ya Sekondari {Form I-IV}.

@SMART Fitness GYM 2017-03-11

welcome to the gym we will be having Hip hop classes soon with Joseph Kumeza

KWA HABARI ZA MJINI USISAHAU KUDOWNLOAD KWENYE #ANDROID #APPS YAKO NA UPATE HABARI ZAIDI ZA DUNIANI NA ZETU PIA https://play.google.com/store/apps/details?id=com.kwetubongo.app

DEAR ALL PLEASE NOTE LITTLE EINSTEIN IS CLOSED. As informed some body is using our page as theirs for the marketing which is strictly not allowed. Please be informed. Thanks

@JamioLink 2016-08-10

Have a dream of working in the aviation industry,join our training institution in order to achieve your dream

@elimu.co.tz 2015-12-01

Be informed that full time school attendance is compulsory for students unless an exemption from attendance has been granted. Daily school attendance is important for all students to succeed in education and to ensure they don’t fall behind both socially and developmentally. Students who regularly attend school have better education outcomes. It is important that children develop habits of regular school attendance at an early age.

Ladies and Gentlemen, on behalf of Mapambano learning centre. i take this important opportunity to thank you all who have liked our page. it is through you that we will be able to reach many people who need education through ADULT PROGRAMME. Thanks and God bless you. Mr. steve Z Masanja, Principal.